Nahitaji mshirika wa kufungua naye duka la vifaa vya maabara

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
2,074
3,615
Wakuu Nijuzeni

Nahitaji kufungua duka la vifaa vya maabara.

Pia nahitaji washirika ambao naweza nikawa nachukua mizigo kwao au nashauriana nao.

Kama una picha ya duka pia naweza kuona maana sijawahi yaona kabisa
 

Attachments

  • 51D6B5E3-E23A-48E9-AB5C-F6D6B1EF0DC8.jpeg
    51D6B5E3-E23A-48E9-AB5C-F6D6B1EF0DC8.jpeg
    895.4 KB · Views: 8
Unahitaji kufanya biashara na unatafuta partners.Lakini husemi Una nini,unapungukiwa na nini,uko wapi,Ushaandaa business plan au wakija ndiyo mtaiandaa?Maduka ya Vifaa yapo mengi Tu tembea...
 
Back
Top Bottom