Nahitaji mshirika katika biashara

abdallah mbwana

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
203
189
Mimi ni kijana miiaka 27 muajiriwa nina uzoefu katika fani za accounting, sales na marketing nipo Dodoma.

Nishafanya biashara zangu binafsi nyingi tu ikiwa kilimo, restaurant na huduma za usafi maofisini na majumbani. Kwa sasa nina wazo la kuanzisha kipindi cha TV na magazine, vyote kwa pamoja au kwa awamu itategemea na execution plan tutakayo andaa. Magazine either iwe ya hard copy ama digital.

Sina uzoefu katika hili ila nishafanya research yake kwa muda wa kutosha tu na sasa nataka ku execute the plan. Hivyo nahitaji mwenye uzoefu either awe my mentor or partner. Sharti awe kijana, mchapakazi na mwenye malengo, akiwa wa Dodoma itakua vizuri zaidi but not limited.

Tunaweza kuwasiliana kwa 0788545146 au 0752738891

Shukrani
 
Jamani natafuta eneo zuri la kulima choroko Arusha Mwenye nalo au anajuwa lilipo naomba anitafute kwa namba hii 0768415195
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…