Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,126
- 2,525
Mimi sitegemewi na Taifa. Nipo kivyangu.usiniingize kwenye kundi hilo please.Dah kazi kweli. Na hizi ndio akili zenu vijana mnaotegemewa na Taifa hili kwa siku zijazo
Yes yes kama hivyoUnataka pumbu liwe kubwa ka la beberu??
unazungumzia waislam kwa ujumla wao sababu ya mtu mmoja anayehorojoka hapa?Waislamu hizi mada zenu mliziweka kiporo kusubiri Ramadhani ipite 🔥
Anawakilisha Waislamu wngn wenye akili hizounazungumzia waislam kwa ujumla wao sababu ya mtu mmoja anayehorojoka hapa?
ukitumia neno baadhi inakuwa vizuri zaidi na haileti ukakasi.Anawakilisha Waislamu wngn wenye akili hizo
Hahahaha!.