Nahitaji mkopo wa milioni 10 Saccoss ambayo ipo vizuri

The Next MP

Member
Nov 15, 2023
68
110
Wakuu Poleni na majukumu, moja kwa moja Mimi Nina shida ya pesa. Lakini nimepata ushauri kwamba kama nahitaji kukopa basi nitafute Saccoss maana wanasema Saccoss ni nzuri zaidi kuliko bank au mtu binafsi yaani Kausha Damu.

Naomba kwa anayefahamu Saccos wanayokopesha na iko vizuri. Nipo Jiji la Dar.

Asanteni sana Wafanyabiashara na Wajasiriamali.
 
Back
Top Bottom