Mimi mjasiriamali nahitaji mkopo wa kumalizia project yangu ya Lodge na pesa nyingine kuingiza katika biashara zangu nyingine.
Mkopo ninaohitaji kama 300milion na nahitaji mkopo wa muda mrefu.
"If you got all necessary collateral".........siamini kama kuna benki inayofanya hivyo. Benki inaangalia chanzo chako cha mapato kitakachowezesha wewe kufanya marejesho ya mkopo na riba yake "collateral" huja mwishoni kabisa baada ya kujiridhisha kuwa una mzunguko wa kumudu kufanya marejesho ya kila mwezi.