Nahitaji 'mifuko ya waraka' kwa bei ya jumla

kinguhj

Member
Sep 4, 2024
49
129
Nahitaji mifuko ya waraka robo kilo, nusu kilo, kilo moja na kilo mbili bei ya jumla kwa carton, anayeuza tafadhali tuwasiliane WhatsApp 0744223213.
 
Mtaa wa pemba naufahamu,ofisi ya huyu ndugu mkongwe ipo kwa upande gani pale?mimi naufahamu vizuri ule upande wenye turubai nyingi na mizani.
Mkongwe anajulikana kona hizo zote, anafunguaga duka saa 4. Na ukileta ujinga anakurudishia hela yako hauzi.. hana mbambamba wala haraka na maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom