Nahitaji Mfamasia aliyesajiliwa na Baraza la Famasia

NDORANGA

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
216
376
Wasaalam, habarini Wana jf

Nitakuwa mbinafsi nisipotanguliza shukrani za dhati kwa member wote wa Jf,kwa sababu tumekuwa tukipeana mbinu mbalimbali ambazo zimetusaidia kutoka sehemu moja kwenda nyingine kiuchumi na kifikra.

-Naamini fika humu JF tunatofautiana ELIMU, UMRI, Imani, rangi, Utaifa, ujuzi na hata mitazamo lakini tunaunganishwa na kitu kimoja na sio kingine ni UPENDO. Yes ni upendo ndo unaofanya tuwe pamoja Kama home of great thinkers...

-Oooops,to cut a long story short nahitaji Registered pharmacist mwenye cheti kutoka pharmacy council ambaye kwa kutumia cheti chake atalipwa laki Tisa(laki 9-milioni 1.2)
  • Mshahara tuta-negotiate
  • Mwenye VIGEZO ani- pm

Note: Awe registered pharmacist mwenye cheti kutoka pharmacy council.

Natanguliza shukrani
 
Hongera mkuu, Tunaomba kazi ata ya kusimama kwenye hilo duka kubwa la dawa utalofungua
 
Kweli kufa kufaana, baba yako alifariki juzi ndiyokwanza amezikwa na mirathi haijatangazwa wewe tayari umekwapua kitita sasa unatutambia!
 
Dah! Mtoa mada Mungu anakuona. Watu tumekuja kwa fujo kuja kuangalia namna mwenzetu ulivyoweza kufikisha milioni 245! Kumbe chenga tu!!
 
Back
Top Bottom