DINHO JF-Expert Member Dec 12, 2016 880 1,750 Jan 1, 2017 #1 Habari zenu waungwana.. kama mwanajamvi ninahitaji LAPTOP yenye hali nzuri.. maana Dukani sina uwezo wa kutoa hizo laki 5,6 nk.. Hivyo mwenye nayo tufanye biashara..
Habari zenu waungwana.. kama mwanajamvi ninahitaji LAPTOP yenye hali nzuri.. maana Dukani sina uwezo wa kutoa hizo laki 5,6 nk.. Hivyo mwenye nayo tufanye biashara..
Facha Don JF-Expert Member Oct 27, 2016 345 316 Jan 1, 2017 #2 Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan
Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan
M mamboga Member Dec 4, 2016 30 6 Jan 1, 2017 #3 Facha Don said: Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan Click to expand... Ipo fujistu ipo kwenye hali nzuri tu bei lak2 jamaa amefukuzwa ada ya chuo kwahy anauza kwa bei hiyo ili arudi chuo
Facha Don said: Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan Click to expand... Ipo fujistu ipo kwenye hali nzuri tu bei lak2 jamaa amefukuzwa ada ya chuo kwahy anauza kwa bei hiyo ili arudi chuo
Agapaul Member Dec 28, 2016 24 4 Jan 2, 2017 #5 Huyu anazo HP mpyaaa kabisa yn zimetoka nje juzi tu mtafute 0657016871