Wewe ni dume au jike?Mimi mgeni sijui namna ya ku pm nifanyeje jamani
Ni kweli mkuu...napata wasiwasi baada ya miaka kumi ijayo hali itakuwajeuchumba limekuwa tatizo kubwa sana siku hizi, hadi kina dada wanatafuta wachumba waziwazi, something is wrong nowdays.
# kila la kheri bibie#