Nimejalibu lakn nilikuwa nadownload intel driver lakn natumia hp cjui nilikuwa nakoseaInasema udownload driver sahihi ya graphics card yako.
Angalia jina la pc yako mfano ni hp, basi nenda google na usearch HP drivers kisha itakuja website official ya drivers za HP.
Search aina ya pc yako alafu utaelekezwa moja kwa moja kwenye sehemu ya kudownload drivers ambazo ni latest, wewe chagua graphics card na udownload.
Au nenda kaupdate automatically kwenye windows updates lakini ujiandae kwa bando lenye gharama za kununua kiwanja.
Kuna njia rahisi za kuupdate na kuinstall drivers lakini mimi sijawahi tumia, subiri wajuzi wa njia hizo waje.
Ndio ni intel video driver, umeinstall hiyo driver?Nimejalibu lakn nilikuwa nadownload intel driver lakn natumia hp cjui nilikuwa nakosea
Sawa nitajalibuDirect x ni driver tofauti na za Graphics card. Download separate toka website ya Microsoft.
Download DirectX End-User Runtime Web Installer from Official Microsoft Download Center
The Microsoft DirectX® End-User Runtime installs a number of runtime libraries from the legacy DirectX SDK for some games that use D3DX9, D3DX10, D3DX11, XAudio 2.7, XInput 1.3, XACT, and/or Managed DirectX 1.1. Note that this package does not modify the DirectX Runtime installed on your Windows...www.microsoft.com
Hakikisha una mb mia kadhaa hivi maana hio runtime ina direct X 11 na 9 kutegemea na soctware inaweza hitaji mojawapo ya hiyo.
Kama hiyo imegoma basi fuata ushauri wa Chief Mkwawa hapo juu, hapo lazima ikubali.Nimeshainstal lakn bd imegoma