Itabidi ulipie domain na hosting ambayo itakuja na uwezo wa kufungua emails ....@domainyako.com .
Hosting na domain ni service ambayo utakuwa unailipia kwa mwaka. So tafuta webhosting company yoyote kama unataka kudeal localy au checki Web Hosting - Cheap Web Hosting | Namecheap.com kama una kadi unayoweza kutumia online.

Link hiyo ya name cheap nimeweka, kwa bongo sizijui kampuni.
Ila hata ukichukua kampuni ya bongo kufanya hosting nakushauri ununue domain mwenyewe namecheap or kwengine so ukitaka kuhama hosting provider inakuwa rahisi, otherwise kama anashikilia vyote unaweza ukawa hostage.