Nahitaji kufahamu kuhusu sheria za kukopa pesa benki, hasa kwa wafanyabiashara wadogo

profHarryEnock

New Member
Dec 18, 2023
1
0
Nahitaji kufahamu kuhusu sheria za kuchukua au kukopa pesa bank hasa kwa wafanyabishara wadogo wadogo.

Kuna mikopo inatolewa na bank ya NMB kwaajili ya machinga na wafanyabishara wadogo wadogo, ili niweze kuomba mkopo kama huo ni lazima niwe na mali isiyohamishika?

Msaada tafadhali, kwa anaefahamu vizuri kuhusu hili
 
Kuna mikopo inatolewa na bank ya NMB kwaajili ya machinga na wafanyabishara wadogo wadogo, ili niweze kuomba mkopo kama huo ni lazima niwe na mali isiyohamishika?
Sharti la kwanza uwe na account kwao, Na transaction history ya kuridhisha, Mengine hufuata, Hili ni takwa kwa karibia benki nyingi.
 
Back
Top Bottom