MKUDE SIMBA JF-Expert Member Apr 5, 2014 305 167 Jun 29, 2016 #2 ukiingia youtube na ku-google utapata video na makala nyingi zaidi kuhusiana na greenhouse
MKUDE SIMBA JF-Expert Member Apr 5, 2014 305 167 Aug 21, 2016 #5 labda ungebadili mada kuwa kitu kama ya kujadili na kuelekezana juu ya ulimaji ndani ya greenhouses kwa ku share uzoefu uliopitiwa na wadau katika kilimo hiki na mafanikio yao pia, ili uchangiaji na ku share mawazo kuwepo zaidi, mtizamo tu
labda ungebadili mada kuwa kitu kama ya kujadili na kuelekezana juu ya ulimaji ndani ya greenhouses kwa ku share uzoefu uliopitiwa na wadau katika kilimo hiki na mafanikio yao pia, ili uchangiaji na ku share mawazo kuwepo zaidi, mtizamo tu
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,493 Aug 21, 2016 #6 Nakushauri kama hujawai kufanya hii kitu kabisa. Ni bora ukatafuta makampuni yanayouza hizi greenhouse ili kujijengea uwezo kwanza.
Nakushauri kama hujawai kufanya hii kitu kabisa. Ni bora ukatafuta makampuni yanayouza hizi greenhouse ili kujijengea uwezo kwanza.
T Tanaluza JF-Expert Member Oct 16, 2015 212 121 Aug 21, 2016 #7 eligi karoli said: Mweny mchango tafadhali anisaidie Click to expand... Fika wizara ya kilimo wana mtaalam wa greenhouse aliyebobea atakushauri vizuri sana.
eligi karoli said: Mweny mchango tafadhali anisaidie Click to expand... Fika wizara ya kilimo wana mtaalam wa greenhouse aliyebobea atakushauri vizuri sana.
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Jan 23, 2013 5,352 9,323 Jul 17, 2017 #8 Mkuu ulifanikiwa kufanya kilimo hiki hebu tupe mrejesho.