Nahitaji Kiwanja S. Meter 2000 Maeneo ya Tegeta, Kondo, Bahari Beach, Boko, Mbweni na Bunju

qurious

Senior Member
Jan 13, 2012
117
77
Habari wadau kama heading inavyosema hapo kuna Ndugu yangu anahitaji Kiwanja maeneo ya kuanzia Tegeta mpaka Bunju...atanunua kwa Bei iliyopo sokoni,inahitaji Kiwanja kikubwa atakachoweza kujenga Nyumba Yake,ya wapangaji pamoja na mabanda ya mifugo kidogo..

Nb:Kiwanja kikubwa
Hapendelei kufanya biashara na madalali.
Kiwanja kiwe na hati.
Pesa italipwa kwa Mara moja.
Kusiwe Mbali sana na barabara kuu na kama ni ndani kuwe na kitu maarufu ambapo ni Rahisi hata kumwelekeza MTU na akafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…