Salama wakuu. Naomba msaada kwa aliyepo Tanga. Natafuta kiwanja cha bei poa naeneo ya Majani Mapana. Ni eneo la kujenga nyumba ya kuishi. Msaada plz. +255756981717
Daah nimepishana na mwaka nina viwanja vinne kilapula mbele kidogo na mizani ya pongwe viwili viko mbele viwili nyuma, vinazingukwa na barabara tatu na maji bomba limepita hapo