Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,856
- 4,539
Habari Wakuu,,
Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua).
Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home, kuanzia mida ya 1:30 - 2:00 usiku na familia yangu imeindoka kwa muda.
Nahitaji nipate kifaa ambacho kitaruhusu kuwasha taa za solar Outomatically mida ya jioni(kiza kinapoingia) ili kuimarisha usalama/Ulinzi wa nyumbani kwangu.