Kampuni zinapatikana najua anataka kampuni ambaye haidaiwi na tra wala watu wa shipping
Je wewe ndiyo mnunuzi au unamtafutia mtu??
Na hiyo biashara iko ya moto???
Maana kuna wakati kuna mdau mmoja humu jf alitaka kampuni lakini mwisho wa usiku zilipopatikana akaanza kutoeleweka??