Nahitaji haraka sana Laptop kwa ajili ya mwanafunzi

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
514
Wadau wa biashara!!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji Laptop haraka sana kwa ajili ya mwanafunzi.
1. Bajeti yangu Tsh 200,000/-
2. Napatikana Kigamboni, Dar
3. Hotline: 0659 211 2222
4. Whatsapp: 0659 211 222
Tafadhali kama unayo na unahitaji tufanye biashara waweza kuweka wazi hapa picha na specifications za laptop yako au kutuma katika namba iliyo hapo juu
Karibuni
 
Ungepaswa kuweka vigezo vya laptop unayohitaji ili tuone kama bei na vigezo vya laptop vinaendana
 
Mkuu naapa Wallah thumma Wallah nnahitaji sana na nipo serious. Natoa nafasi useme specs hizo kutokana na hela iliyopo. Sipendi maneno ya kuanza mara ooooh kwa specs hizo utasubiri saaana au ongeza hela
Anyway wapo walioelewa
 
kuna mtu anayo ila changamoto ni button C na left arrow button moja haifanyi kazi
HDD ---> 160GB
Core 2 duo centrino
Brand Acer
Ram 2
Size 12.5
 
kuna mtu anayo ila changamoto ni button C na left arrow button moja haifanyi kazi
HDD ---> 160GB
Core 2 duo centrino
Brand Acer
Ram 2
Size 12.5
Amewahi jaribu kuulizia matengenezo mkuu. Picha 0659 211 222
 
Oi, specification za laptop ni:Ram 4 GBHDD 500 GBProcessor duo core 2.13 ghz Kasoro zake:Haikai na batteryPrice: 270,000/- negotiable. No 0714 487510
 
But mimi ningekushauri ununue mpya achana na mtumba
Natamani kufanya hivyo ndugu yangu ila Januari ina mamabo mengi na wengine sisi ndio kaka wa kwanza sasa madogo wanakuangalia wewe na vlvl sijaona umuhimu wa laptop ya gharama kuuubwa kwa level ya mwanafunzi aliyopo
 
Natamani kufanya hivyo ndugu yangu ila Januari ina mamabo mengi na wengine sisi ndio kaka wa kwanza sasa madogo wanakuangalia wewe na vlvl sijaona umuhimu wa laptop ya gharama kuuubwa kwa level ya mwanafunzi aliyopo
Tatizo kubwa ni uimara wa chombo
Zile za mutaani zina kazi maalum wale watu wa telecom wanajua zaidi
 
Sasa kama una laki mbili specs za nini?!..
Kwa pesa hiyo sema nataka laptop yoyote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…