Nahitaji gold detector

His Eminence

Senior Member
Sep 22, 2024
121
372
Habari za jioni,kwa wale wenzangu wa sekta ya madini natafuta sana Mtu atakeyekuwa na uwezo na kufanya joint venture anisaidie Detector aina ya MINELAB GPX 6000,kwa ajili ya kazi za kutafuta Madini.

Eneo nililopo linamzigo wa nuggets wa kutosha changamoto vipimo vinavyotumika uwezo mdogo kama gold fisher ambazo zinaishia kudetect gold zile ndogo mwisho 30cm.
Kama Ipo nyumbani imekaa tafadhali tuwasiliane..
 
We unapatikana wapi

Ova
 
naomba nieleweke natafuta Mtu ambaye mchango wake utakuwa hiyo detector,ila eneo na nguvu kazi ipo
 
Unataka kumpiga mshikaji kizembe sana ....

Pale Lwazole Dealers karibu na NMB Shinyanga Mjini wanauza kuanzia 7 mpaka 8 million.
Hiyo itakuwa cdc, inachukua dhahabu ndogo lakini haizamiii
Mimi namtajia brand za kutoka Australia ,akitaka za mseleleko mchina katoa nyingi tu ila mbeleni atalia
Na mimi ni mjuaji sana maana hiyo field ndipo nipo mimi...
Tatizo watoto humu jf ujuaji mwingi ndomana wazee wa kazi tumeamua kuwakaliaa kimyaa
No kutoa mitonyo humu siku hizi

Nabhuwezi kupata gpx 6000 kwa bei labda iliyotumikaaa ya mkononi...aende hapo ulipo muelekeza akioata gpx 6000 arudi humu ....

Ova
 
Hiyo itakuwa cdc, inachukua dhahabu ndogo lakini haizamiii
Mimi namtajia brand za kutoka Australia ,akitaka za mseleleko mchina katoa nyingi tu ila mbeleni atalia
Na mimi ni mjuaji sana maana hiyo field ndipo nipo mimi...
Tatizo watoto humu jf ujuaji mwingi ndomana wazee wa kazi tumeamua kuwakaliaa kimyaa
No kutoa mitonyo humu siku hizi

Ova
Ndg yangu ashante sana kwa USHAURI,kikubwa ninatafuta mdhamini wa hiyo detector,eneo lipo na vikole vipo...
 
Kama doma, moro usipeleke machine huko watu wamepeleka machine zaidi ya 100 na juzi kati hapa watu wamevuaaa dhahabu balaa yaani wamepiga hela ya maana
Tunduru napo nasikiaa kuna mahali kuna mliooo mm mwenyewe nishatumqma majajusi wangu huko
Mimi kikazi nafanya lindi sahv
Wee ni pm niambie eneo hilo ni wapi tuone namna ya kufanya kama machine ya kukodi utapata
Si makubaliano,natumai unajuwa namna gani makubaliano ya machine inakuwaje..
Mm natumia gpx 5000 tu ...

shukrani sana, tayari nimekuPM
 
Back
Top Bottom