Mko poa mjengoni, ndoto yangu ni kuwa na gari mwaka huu na ninapenda harrier ama Brevis kiwango changu ni milioni 12. Je ubora na matumizi ya mafuta ukoje? Naomba ushauri wadau
Nicheki kwa namba 0756249110/0715249110 nikuuzie gari ya ndoto yakoMko poa mjengoni, ndoto yangu ni kuwa na gari mwaka huu na ninapenda harrier ama Brevis kiwango changu ni milioni 12. Je ubora na matumizi ya mafuta ukoje? Naomba ushauri wadau
Yote hayo ni magari mazuri, yanaweka heshima ya Toyota brand, Harrier 3000cc na Brevis 2500cc; kwa town runs, jipange sawasawa kwenye fuel consumption lakini kwa masafa marefu yako njema sana.
kusema kwa masafa yako poa na town trips inakula sana mafuta,haitosh kumfanya mtu aelewe,kwanini usiwe specific sema angalau town trip consumption ina range 6 may b to 8km/ltre na masafa mseme hata range flan from x to ykm/litrYote hayo ni magari mazuri, yanaweka heshima ya Toyota brand, Harrier 3000cc na Brevis 2500cc; kwa town runs, jipange sawasawa kwenye fuel consumption lakini kwa masafa marefu yako njema sana.
kusema kwa masafa yako poa na town trips inakula sana mafuta,haitosh kumfanya mtu aelewe,kwanini usiwe specific sema angalau town trip consumption ina range 6 may b to 8km/ltre na masafa mseme hata range flan from x to ykm/litr
Mh harrier ujipange mjomba kwenye mafuta weng znawatoa kamasi yan mafuta ya120 ata week haijaisha tayar ishawasha taa afu ukchek n misele tu ya town kuna mmoja huku ana force kubadlshana Harrier na IST ahaaaa
Hivi Toyota Harrier zote zina engine aina moja cc3000? Si kuna cc2000 na 2400 pia?Yote hayo ni magari mazuri, yanaweka heshima ya Toyota brand, Harrier 3000cc na Brevis 2500cc; kwa town runs, jipange sawasawa kwenye fuel consumption lakini kwa masafa marefu yako njema sana.
Asante mkuu, naona Kuna harrier nyingine zina cc2365 vipi hizoYote hayo ni magari mazuri, yanaweka heshima ya Toyota brand, Harrier 3000cc na Brevis 2500cc; kwa town runs, jipange sawasawa kwenye fuel consumption lakini kwa masafa marefu yako njema sana.
vp nissan murano kwa upande wa mafuta kwa safar za town na nje ya mji kama toka dar,-mbeyaMh harrier ujipange mjomba kwenye mafuta weng znawatoa kamasi yan mafuta ya120 ata week haijaisha tayar ishawasha taa afu ukchek n misele tu ya town kuna mmoja huku ana force kubadlshana Harrier na IST ahaaaa
Hilo nalo neno mzaziInatosha tu kufahamu kwamba mijini consumption inakuwa juu kwa sababu ya speed ndogo na mifoleni na masafa consumption inapungua kwa sababu ya mwendo standard lakini bado kuendesha ni art baina ya mtu na mtu na pia inategemea ubora wa gari lenyewe, kwa somo mahususi awasiliane na waagizaji magari wenyewe kama Beforward na wengine atasaidika zaidi
Asante mkuu, Aina gani nyingine ni nzuri tofauti na hizo! Ambazo ulaji wake mafuta ni mzuri?Mh harrier ujipange mjomba kwenye mafuta weng znawatoa kamasi yan mafuta ya120 ata week haijaisha tayar ishawasha taa afu ukchek n misele tu ya town kuna mmoja huku ana force kubadlshana Harrier na IST ahaaaa