Nahitaji gari toleo la Land Rover 109

Kuna show room moja iko pale fire, karibu na ile shule ya wasichana sijui inaitwaje, sijui ndio Zanaki! Niliwahi kuiona Landrover kali damu ya mzee na nadhani walikuwa wanataka milioni ishirini... Kawatembelee...
 
Inawezekana we uliyoiona ni labdrover 110...Jamaa anataka 109..arusha inaitwa mandolin.
Mkuu, Landrover 109 naifahamu kupita maelekezo... Kwenye miaka ya 1980-90 mzee wangu alikuwa ni mkuu wa chuo na hizo gari ndio walikuwa wamepewa kila chuo... Pia mwaka 94 tulikuwa tunamiliki Landrover 109 mpaka mwaka 98 hiv. Mwaka 2001 wakati naenda driving school nilijifunzia kuendesha gari kwenye Landrover 109... So you can imagine jinsi ninavyozijua hizo gari na wala siwezi kuchanganya na 110!
 


Sawa mkuu....ila 109...20m mkuu??? Duuu parefu sana hapo.... Ilikuwa mpya labda...ila sidhani kama bado zinatengenezwa.
 
Kwa msaada na utatuzi wa matatizo ya kiumeme
Kwenye gari lako wasiliana nami kwa no
0672527017
 
Ndio mkuu naihitaji maana hizi za automatic zimenishinda kila nikiiacha home mke nae anakuwa dereva
Mkuu usiwe mkoloni, acha mke aendeshe gari, kuna siku utaumwa usiku mke ataendesha kukupeleka hudumani au ukisafiri mkeo atahudumia familia kwa gari.
 
Mwenyewe siku nalihitaji, liwe pickup ...likiwa pouwa yani ni mwendo porini
 
Umekosea tu hapo kupita maelekezo ni kupita maelezo vinginevyo wewe ni mandolin hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…