Nahitaji fundi mzuri wa kuflash simu

kekule benzene

JF-Expert Member
Sep 28, 2016
1,408
3,495
Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash.

Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa.

Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi.

Pesa ipo mfuko wa shati

kyocera_basio_3.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom