balibabambonahi JF-Expert Member Apr 5, 2015 15,370 13,767 Dec 26, 2016 #1 Wakuu bajeti yangu ni laki na nusu,natafuta kafriji kadogo ,kawe kazima na kako vizuri,napatikana mbezi kwa musuguli.
Wakuu bajeti yangu ni laki na nusu,natafuta kafriji kadogo ,kawe kazima na kako vizuri,napatikana mbezi kwa musuguli.
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Dec 27, 2016 #2 Naweza kukununulia na kukutumia bila kuonana, but uaminifu tu
balibabambonahi JF-Expert Member Apr 5, 2015 15,370 13,767 Dec 27, 2016 Thread starter #3 STUNTER said: Naweza kukununulia na kukutumia bila kuonana, but uaminifu tu Click to expand... Wewe uko wap
STUNTER said: Naweza kukununulia na kukutumia bila kuonana, but uaminifu tu Click to expand... Wewe uko wap
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Dec 27, 2016 #4 Nipo Tanzania, usijali kama ukiwa tayari mzigo utaupokea popote ulipo, just in two days
Ze Heby JF-Expert Member Jun 22, 2011 5,566 6,014 Dec 28, 2016 #5 STUNTER said: Nipo Tanzania, usijali kama ukiwa tayari mzigo utaupokea popote ulipo, just in two days Click to expand... Malipo baada ya mzigo kunifikia na kujaribiwa ubora wake..Sawa?
STUNTER said: Nipo Tanzania, usijali kama ukiwa tayari mzigo utaupokea popote ulipo, just in two days Click to expand... Malipo baada ya mzigo kunifikia na kujaribiwa ubora wake..Sawa?
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Dec 28, 2016 #6 Ze Heby said: Malipo baada ya mzigo kunifikia na kujaribiwa ubora wake..Sawa? Click to expand... Hakuna tatizo,
Ze Heby said: Malipo baada ya mzigo kunifikia na kujaribiwa ubora wake..Sawa? Click to expand... Hakuna tatizo,