A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,562
Hello, habarini za kutwa wapendwa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninauhitaji na fremu kwa ajili ya duka la kuuzia nguo na viatu kwa Moshi mjini, kama nitapata maeneo ya kuanzia stendi, double road, haya maeneo ya NMB Mandela, na soko la kati nitashukuru zaidi, naomba kama kuna anaefahamu mahali naweza kupata basi anitumie ujumbe mfupi inbox yangu
Natanguliza shukrani zangu, na niwatakie sikuku njema
Asanteni sana