Ok9 JF-Expert Member Oct 5, 2013 4,549 4,132 Mar 4, 2016 #1 Ni Samsung grand duos haipeleki hilo file kwenye memory card inasababisha sim kujaa sana..... Nn cha kufanya ili zihame?
Ni Samsung grand duos haipeleki hilo file kwenye memory card inasababisha sim kujaa sana..... Nn cha kufanya ili zihame?
utakuja JF-Expert Member Sep 20, 2010 1,033 897 Mar 8, 2016 #3 Kama aikupi option ya kumove app to add card basi utabidi kuroot simu na install app inaitwa link to sd
Kama aikupi option ya kumove app to add card basi utabidi kuroot simu na install app inaitwa link to sd
Ok9 JF-Expert Member Oct 5, 2013 4,549 4,132 Mar 14, 2016 Thread starter #4 utakuja said: Kama aikupi option ya kumove app to add card basi utabidi kuroot simu na install app inaitwa link to sd Click to expand... Nimeroot na wasp haihami apps nyingne zinahama poa tu. Ngoja niijarb hiyo
utakuja said: Kama aikupi option ya kumove app to add card basi utabidi kuroot simu na install app inaitwa link to sd Click to expand... Nimeroot na wasp haihami apps nyingne zinahama poa tu. Ngoja niijarb hiyo