Niccolo Machiavelli JF-Expert Member Feb 7, 2017 1,881 3,644 Apr 10, 2017 #1 Wakuu.....anaejua maeneo naeza pata...nisaidieni!
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 69,855 137,244 Apr 10, 2017 #2 Mi naomba kuuliza wanapatikana wapi kasuku na wanauzwaje nawapenda
Steven Nguma JF-Expert Member Dec 6, 2016 1,074 1,147 Apr 10, 2017 #3 Day break pet shop. Njia ya kwenda tandale shuka kituo cha kwa bibi nyau kama sija kosea utapata chakula cha kasuku na mbwa pia.
Day break pet shop. Njia ya kwenda tandale shuka kituo cha kwa bibi nyau kama sija kosea utapata chakula cha kasuku na mbwa pia.
Steven Nguma JF-Expert Member Dec 6, 2016 1,074 1,147 Apr 10, 2017 #4 Evelyn Salt said: Mi naomba kuuliza watapatikana wapi kasuku na wanauzwaje nawapenda Click to expand... Kasuku huwa wanaagizwa toka congo mara ya mwisho walikuwa sh laki 3
Evelyn Salt said: Mi naomba kuuliza watapatikana wapi kasuku na wanauzwaje nawapenda Click to expand... Kasuku huwa wanaagizwa toka congo mara ya mwisho walikuwa sh laki 3