Nahisi nina bahati mbaya,kila mwanamke wa kitanzania ninaemkopesha pesa lazima anidhulumu

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,920
15,670
Kwa kweli,sio kwamba nina pesa nyingi la hasha,ni mtu tu ambae sinaga mambo mengi hivyo huwa najitahidi kuwa na kabalance ka kutosha kwenye accounts zangu kwa ajili ya mambo yangu binafsi.

So inapotokea mtu akanikopa akaja na sababu za kueleweka huwa siona tabu kukopesha hivi vilaki mbili au tatu.

Sehemu ninayofanyia kazi ni kampuni ya kimataifa hivyo tupo watanzania na wasio watanzania.

Mwanaume wa kitanzania akinikopa huwa anarudisha on time hilo sina shaka nalo.ila akinikopa mdada wa kitanzania it's either nitarudishiwa pesa nusu kama sio robo au nisirudishiwe kabisa hizo pesa.

Mpaka sasa nina wanawake kama watatu ambao kwa ujumla wao nawadai takribani 1.8m ni kama wamenizika maana madeni yana zaidi ya mwaka na hakuna dalili ya kulipwa coz wengine hata kupokea simu zangu hawapokei tena.

So wakuu me nawaza wanawake wa kitanzania ndio wako hivi au wananiona me ni wa kudhulumiwa tu?

Nyie wenzangu mnatumia mbinu gani kulipwa?
 
Kama haufanyi baishara ya kukopesha ni vizuri ukawa na utamaduni wa kumkopa mtu kiasi ambacho upo tayari kukipoteza.


Wengine huwa wanatumia udhaifu wa hao wadeni kufanya nao ngono n.k Ila bado sio njia sahihi ya kulipwa deni lako.

Ikiwa anataka mkopo mkope kiasi ambacho upo tayari kukisamehe maana sisi watanzania huwa hatulipi madeni kirahisi hii inafahamika dunia nzima.
 
Uwe inahudhuria vikao, mwanamke hakopeshwi, mpe kiasi unachoweza au mwambie huna.

Na wengine watakulipa kitumbua badala ya hela
 
Jambo hili si sawa hata kidogo nitamfikishia mh. Mwenyekiti TUNDU LISU malalamiko haya haraka sana
 
Mijanijike si ya kuikopesha ni ya kupiga p**mbu kisawasawa na kumuachia buku 10 akafulie chupi alaf kila mtu na hamsini zake.

Kadiri unavyojifanya lover boy ndio kadiri utakavyopigwa maokoto mpk useme basi.

Hivi viumbe vimejaa tamaa kwa asilimia nyingi. Zinduka ndugu yangu
 
Mijanijike si ya kuikopesha ni ya kupiga p**mbu kisawasawa na kumuachia buku 10 akafulie chupi alaf kila mtu na hamsini zake.

Kadiri unavyojifanya lover boy ndio kadiri utakavyopigwa maokoto mpk useme basi.

Hivi viumbe vimejaa tamaa kwa asilimia nyingi. Zinduka ndugu yangu
Jamaa atakua msukuma huyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom