Zheneba Member Aug 5, 2011 75 9 Jan 17, 2016 #1 Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official …: Angalia video hii kwenye hiyo link ili kiba afikishe 1m view atoe ngoma nyingne support gud music
Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official …: Angalia video hii kwenye hiyo link ili kiba afikishe 1m view atoe ngoma nyingne support gud music
Aadilu JF-Expert Member Mar 20, 2013 645 463 Jan 17, 2016 #4 Itamchukua muda mwingi sana kumfikia Diamond
Zheneba Member Aug 5, 2011 75 9 Jan 17, 2016 Thread starter #5 Aadilu said: Itamchukua muda mwingi sana kumfikia Diamond Click to expand... Hashindani na D kila mmoja ana radha yake ambayo ni nzuri
Aadilu said: Itamchukua muda mwingi sana kumfikia Diamond Click to expand... Hashindani na D kila mmoja ana radha yake ambayo ni nzuri
eden kimario JF-Expert Member Jun 13, 2015 10,235 16,205 Jan 17, 2016 #6 Diamond hana mda mrefu kwenye muziki ngoma ya je utanipenda inaakisi maisha yake yajayo mkataba umefika kikomo yaani ni kama Mr nice tu
Diamond hana mda mrefu kwenye muziki ngoma ya je utanipenda inaakisi maisha yake yajayo mkataba umefika kikomo yaani ni kama Mr nice tu
Zheneba Member Aug 5, 2011 75 9 Jan 17, 2016 Thread starter #7 eden kimario said: Diamond hana mda mrefu kwenye muziki ngoma ya je utanipenda inaakisi maisha yake yajayo mkataba umefika kikomo yaani ni kama Mr nice tu Click to expand... Lol
eden kimario said: Diamond hana mda mrefu kwenye muziki ngoma ya je utanipenda inaakisi maisha yake yajayo mkataba umefika kikomo yaani ni kama Mr nice tu Click to expand... Lol
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,962 Jan 17, 2016 #8 eden kimario said: Diamond hana mda mrefu kwenye muziki ngoma ya je utanipenda inaakisi maisha yake yajayo mkataba umefika kikomo yaani ni kama Mr nice tu Click to expand... Kwenye RED ufafanuzi tafadhari.
eden kimario said: Diamond hana mda mrefu kwenye muziki ngoma ya je utanipenda inaakisi maisha yake yajayo mkataba umefika kikomo yaani ni kama Mr nice tu Click to expand... Kwenye RED ufafanuzi tafadhari.
Mkaruka JF-Expert Member Feb 5, 2013 19,629 34,173 Jan 18, 2016 #9 eden kimario said: Diamond hana mda mrefu kwenye muziki ngoma ya je utanipenda inaakisi maisha yake yajayo mkataba umefika kikomo yaani ni kama Mr nice tu Click to expand... Mbege na bange zitakumaliza
eden kimario said: Diamond hana mda mrefu kwenye muziki ngoma ya je utanipenda inaakisi maisha yake yajayo mkataba umefika kikomo yaani ni kama Mr nice tu Click to expand... Mbege na bange zitakumaliza