ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,778
- 69,436
Watu wa Dar wameingia kwenye shida kubwa ya maji Kwa Baadhi ya maeneo.
Hali hii inaelekea kufikia mwezi mmja Sasa huku wakidai wananunua dumu la maji Kwa Shilingi 2,000.
Maoni Yangu.
Nafurahia Sana navyoona wanapata shida kwani wao hudhani watu wanatakiwa kupata shida ni WA Mikoani pekee.
Nakumbuka mwaka juzi Serikali ilianza kutoza tozo za miamala na Mafuta Kwa malengo ya kupata pesa kujenga Barabara Vijijini,maji na vituo vya Afya Vijijini.
Watu wa Dar ndio walikuwa wa kwanza kupinga hoja hizo Kwa vijisababu visivyo na msingi.
Mkoa wa Dar Kwa miaka Mingi umekuwa ukineemeka Kwa jasho la watu wa Mikoani lakini uwekezaji wa Fedha Kwa Mkoani hailingani na kiwango Chao Cha kuchangia badala yake Kila kitu kinaelekezwa Dar.
Aidha Mbunge wao Jerry Silaha alikuja na hoja ya kutoza Shilingi 100 tuu Kwa magari ya Dar na kutaka pesa watakazopata ambazo wakisema zitajenga Barabara huko huko Dar ila kama kawaida Kwa kuwa watu wa huko wamezoea kunyonya jasho la wengine walikataa na ikaishia hivyo.
Sasa hii adha wanayopata naomba iendelee zaidi Hadi mwezi wa 12 na ikibidi mvua isinyeshe huko Ruvuma Ili wajue kwamba inatakiwa kuungana na Serikali kuleta maendeleo na sio kupinga.
Na watambue tuu hicho wanalalamikia ndio maisha ya kawaida maeneo mengi ya Mikoani ila tuu huku hakuna vyombo vya habari na pia pesa zetu ndio zinachukuliwa kuja kuweka Huduma zote huko.
By Mwagito, MbambaBay 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAqCIWTATEa/?igsh=MWxhc3NhaWM0eWtkZA==