Nafikisha mwezi wa tatu sijashiriki ngono zembe tokea nimeapa kuachana nayo na mwaka sasa bila kupiga nyeto! Inawezekana

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
903
2,509
Kila kitu kinaanza kwa kuamua kama mimi nilivyoamua kuacha kufanya ngono zembe kwa kuogopa radhi za mwenyezimungu na kuamua kumrudia mungu kisawasawa na kuacha kupiga nyeto huu mwaka sasa unakaribia pia ni kuogopa radhi za mwenyezimungu na kuepuka nuksi za hovyo hovyo kwa kufanya ngono zembe kwa wanawake wenye laana na nuksi kiukweli mwili na akili imerudi kama zamani aisee

Zamani ilikuwa kumaliza 60k kwa ajili ya kumpa mwanamke tu ilikuwa kawaida na hamna kitu nilichokuwa napata zaidi kuongeza wasiwasi na hofu(anxiety)baada ya kupractise huo usheitwani tokea.

Ngono ni laana,ngono ni umasikini,ngono huleta mikosi na hivyo hivyo kwa nyeto nimepoteza pesa nyingi sana kwa ajili ya kufanya ujinga na usheitwani kama huo na namshukuru mungu kwa kuweza hii challenge na inawezekana ukiamua I turn akili yako ngono na nyeto huleta mikosi,nuksi,umasikini na ufukara.

"Msikaribie zinaa kwani huleta ufukara na umasikini"
 
NIlikuwa najaribu siku moja kutafuta furaha na amani kwa kufanya ngono na watu tofauti tofauti,lakini baada ya kufanya napata wasiwasi na hofu sana,nikaanza kujichunguzq taratibu,nikajuwa kumbenilikuwa nafanya ngono na watu ambao wana nuksi kibao,sasa tangu nimeacha nimekuwa mwenye amani na utulivu ndani yangu.
 
Kila kitu kinaanza kwa kuamua kama mimi nilivyoamua kuacha kufanya ngono zembe kwa kuogopa radhi za mwenyezimungu na kuamua kumrudia mungu..
Hii story ya ngono ni laana ni umaskini naonaga ni Africa tu. Mbona ulaya au kwa bwana biden watu wanapiga hela nyingi tuu kupitia ngono
 
NIlikuwa najaribu siku moja kutafuta furaha na amani kwa kufanya ngono na watu tofauti tofauti,lakini baada ya kufanya napata wasiwasi na hofu sana,nikaanza kujichunguzq taratibu,nikajuwa kumbenilikuwa nafanya ngono na watu ambao wana nuksi kibao,sasa tangu nimeacha nimekuwa mwenye amani na utulivu ndani yangu.
Mwee utakuwa ulikuwa unagegeda pisi za buku tano ndio maana
 
Back
Top Bottom