Nafasi za Kidato cha 5: Itende high school Mbeya

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
801
Shule inatangaza nafasi za kujiunga kidato cha 5 na kuhamia kidato cha 6; mwaka 2015/16;
Shule ni mchanganyiko
Kutwa na bweni
IPO mbeya MJINI
Michepuo: HGE,HGL,HGK,HKL &EGM
ADA nafuu
Sifa; angalau credit 3
Mhula; masomo yameanza kwa kidato cha 5.

Karibu sasa, wasiliana nasi; 0754734009
 
Back
Top Bottom