ladybutterfly
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 213
- 58
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Mweka -Moshi inatangaza nafasi za kazi ya kuuza vinywaji Bar counter na kuhudumia wateja vinywaji na chakula ( Service)
Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa Kilimanjaro-Moshi
Wasiliana nasi kwa namba 0752808396
Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa Kilimanjaro-Moshi
Wasiliana nasi kwa namba 0752808396