Imphuvyi
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 224
- 154
Hello brethren,
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji msaidizi wa kazi Ya mgahawa.
Location: Dodoma, sabasaba na makulu.
Ofisi zipo mbili, hivyo muda mwingine atakuwa sabasaba muda mwingine makulu.
Majukumu: cashier.
- kazi yake ni kuuza bidhaa tu.
Hatahusika na kuhudumia wateja wanaokaa.
Atahudumia wateja wa kufunga tu na kupokea fedha za wateja wanaokaa kutoka kwa wahudumu.
Muda wa kuingia kazini ni saa moja kamili asubuhi mpaka saa tatu usiku.
Jumamosi atapumzika.
Malipo ni 50k kwa wiki.
Vigezo,
Mwanamke.
Umri 22-30.
Awe anajua mahesabu ipasavyo,
Awe msafi sana.
Awe single.
Awe mkazi wa Dodoma.
Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu.
Awe na barua ya utambulisho kutoka kwa mjumbe wake wa nyumba kumi, iambatanishwe na paspoti saizi, pamoja na mawasiliano ya mzazi wake au ndugu wa karibu.
Asiwe MWENYE KISIRANI
Mwenye utayari tuwasiliane
0769636666. Meseji tu!!
Karibuni.