Nafasi ya kazi ya ualimu

TANZANIA LEO

Member
Jun 21, 2013
91
10
Anatafutwa mwalimu mahiri wa somo la stadi za kazi, mwenye uzoefu wa kufundisha somo hilo, mwenye upendo na watoto.
Shule ni ya mchepuo wa kiingereza, ipo Mbezi beach, Dar es salaam. Anatakiwa haraka iwezekanavyo. Mshahara mzuri.Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0766407153.
 
Vipi mkuu mwalimu ameshapatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…