Nafanya Yafuatayo...!

thefreedot

Senior Member
May 21, 2015
135
25
- Nabadilisha mikanda/tape za vhs kwenda mfumo wa digital yani kuziweka kwenye memory au dvd e.g. mikanda ya maharusi, vipaimara, etc (vhs tapes to modern digital video conversion...store in memory card, external hdd, dvd) - tsh. 35,000 per tape for tapes less than 10 more than 10 you can discount

- Nakuagizia ukitakacho kutoka nchi za nje...! (Import products from overseas through me)(maelewano)

- nakuanzishia na nakuwekea na kukufanyia updates na maintainance kwenye website yako, fb business page, you tube channel (maelewano)

- na design matangazo utakayoweza kutumia kwenye mitandao, soft digital copies au kufanyia printing kama hard copy (tsh. 20,000) graphic designing kama hii kwenye picha...pia naondoa background kwenye picha yako na kuweka uipendayo....!

- nakutengenezea business card yenye mvuto na design ya kisasa zaidi (Tsh. 5,000) kisha unaenda ku print upendapo au nakuelekeza kwa watu watakaokupa bei nzuri kwa copy kuanzia 100...!

Mawasilano: 0655-659-115, 0624-132-227, Whatsapp : 0769-663-092
 
Wapi Location Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…