Taasisi hii ilikuwa na ni mradi wa kupata fedha za familia, lakini zaidi ni kwamba Salma anatunza fedha kwa ajili ya uchaguzi Mkuu mwakani kwani atagombea ubunge.
Kila mwaka Mengi anaichangia Taasisi hii zadi ya Tshs. 200 milioni kwa miaka mitano,na bado michango toka kwa wafadhili wa nje.