The next JPM
Member
- Feb 22, 2023
- 22
- 46
Habari za mapambano wakuu, Mimi ni mwanafunzi moja ya chuo kikuu kimoja apa Tanzania, Nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi ( mwaka wa pili).
Ni ended kwenye lengo la Uzi huu, kwa utafiti wangu mdogo nimegundua Kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu, kwa upande wa masomo yote yaani sayansi, Sanaa na biashara.
Hivyo ni kawaza kuwa ni muda sasa serikali kuanzisha TIMU YA WALIMU WASIO NA MIPAKA, Hawa wawe ni walimu ambao bado hawajapa ajira ila wawe wanapangiwa kwenye shule hasa za vijijini na wilaya za ndani ndani huko wawe wanapiga hata kambi za miezi sita wakifundisha kwa kujitolea huku waiiapata posho,
FAIDA ZA KUWA NA WALIMU WASIO NA MIPAKA
01. Itasaidia kuinua kiwango cha ufaulu hasa kwa shule za pembeni zenye uhaba wa walimu
02. Itakuwa kama njia japo si kamili, ya kupunguza tatizo la ajira kwa wahitimu wa fani hii adhimu ya ualimu
Hayo ni mawazo yangu wakuu karibuni wa comments na Mawazo yenu