Kuelekea 2025 Nadhani Mchango kwa Lissu ulihitajika zaidi siku alipopigwa risasi maana ile haikuwa Siasa, ashukuriwe Mbunge wa CCM Zanzibar aliyemkodia Chopa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,896
166,115
Hiii michango ya akina Maria Sarungi na Amos ni Siasa za kutwezana tu

Kama ni michango ya CCM kwa Tundu Lisu basi ilishatolewa na yule Mbunge wa CCM Zanzibar aliyemkodia Chopa kadhalika Rais Samia na Hayati Mzee Mwinyi walipokwenda hospital Nairobi Kenya kumjulia hali

Hawa akina Maria Sarungi wanaleta Siasa uchwara tu

Kutoa misaada ya kibinadamu ni Ibada ndio sababu hawa Waislamu niliowataja hawajawahi kujitangaza na kujisifu popote

Mlale Unono 😀

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…