Nachora picha ya penseli kwa bei poa sana

DZEKO_10

Member
May 23, 2023
12
24
Isaack.artz mchoraji wa picha za penseli black and white, napatikana makongo juu,dar. Nafanyia kazi nyumbani.
nAchora size ya A3,A2 na A1 karibuni

0712068462/0742083772

downloadfile-3.jpg
downloadfile-2.jpg
 
Kiongozi, Hongera sana kwa kuwa na hicho kipaji
ili kup[ata wateja; Weka picha halisi ya mtu na weka picha uliyoichora ya hiyo picha
Hapo ndio utakuwa umejitangaza vizuri....
I think nimesom comments za wadau nimeona muamko wengi mmenitak niweke picha ok ngoja nipandishe picha boss
 
Mchoraji wa picha kali za black and white pure art ilichorwa kwa mkono nichek 0712068462 isaack.artz

20240405_205209.jpg
 
Back
Top Bottom