sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,256
Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza.
Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza magari.
Sasa kitu nachowazia yale mambo ya kutoa kitu kidogo au za kujuana yakianza tutaumia kweli, unaweza kuta kama hutoi kitu au kujuana na mtu hapo tbs gari inaweza kukaguliwa hata miezi miwili au ukaambiwa gari ni bovu halijakidhi viwango na kupelekea gharama za ziada za matengenezo.
Gari isipokidhi vigezo utaambiwa ukalipie kwenye karakana ya UDA litengenezwe. kuko karakana ya UDA watakutengenezea kwa gharama wanazotaka wao, hakuna majadiliano kama huku kwenye garage ukiona sehem ni bei unahama kwengine.
kitu kingine huko kwenye ukaguzi au matengenezo usalama wa spare za magari tuliyoagiza upoje?? maana mkaguzi au fundi anaweza kuchomoa spear ya gari yako uliyoagiza akaenda kuiweka kwenye gari yake, ya mtoto wake, mke wake, ndugu yake au hata kuiza alafu wewe ukawekewa kuu kuu iliyochoka, kiukweli inatia hasira
Mi naona utaratibu wa zamani gari inakaguliwa huko huko ndio ulikuwa mzuri, gari ikifika bandarini ma agent wataclear vitu unapata chombo chako,
Haya mambo ya kuanza kufungua fungua magari tunayoagiza kwajili ya ukaguzi yananipa hofu sana.
Nawaza tu