Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 30,671
- 34,055
Nabii Clear Malisa wa Kanisa la Kingdom Embassy ametoa onyo kwa watumishi wa Mungu, wanasiasa na Wakristo wote nchini kuhusu umuhimu wa kutunza amani ya Tanzania, akisisitiza kuwa amani hiyo haipaswi kutetereka kwa sababu ya tamaa au siasa.
Akizungumza wakati wa Sikukuu ya Pasaka, Nabii Malisa amesema:
“Tukikumbuka siku hii ya Pasaka, miaka zaidi ya 2000 iliyopita Yesu alimwaga damu msalabani kwa ajili yetu na akatambulika kama Mfalme wa Amani. Leo hii hatutakubali kuona watu wakimwaga damu zao ilhali Yesu alishalipa gharama hiyo kwa ajili yetu. Ni upumbavu kufanya hivyo — tutunze amani yetu nchini.”