Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,633
- 25,716
Wakuu
Sasa tunapata picha kuwa amrouche ni dalali wa wachezaji na ana wachezaji wake maalumu.
Kipindi cha mwanzo alimuacha Kevin John sababu ya nidhamu hilo tukaamini maana huyu hata kabla ya hapo zilishambaa tetesi za utovu wa nidhamu..
Achana na yeye kuwapokea CR Belouzad wakati wanakuja kucheza na yanga
Hebu tujiulize kipi kigezo hasa cha kuitwa national team?
Ni current performance?
Nidhamu?
Fitness (physical)?
Kama jibu ni ndiyo ,why Job hajaitwa? Why?
Maana anavyo vyote hivyo halafu kaenda kuitwa Kennedy juma! Kweli? Huyu huyu aliekakamaa kama kuni ya kiangazi?
Hapa kuna kitu huyu kocha ana wachezaji wake.
Niliskia anayo agency ya kumanage wachezaji tangu muda tu sana. Tukiachana na job striker waziri Jr hajaitwa licha ya kuwa kwenye kiwango bora sana na anatoka mid team kama kmc kwaninj asipewe nafasi hii adimu kwenye maisha yake? Kulitumikia taifa lake?
Hawa kina Sammata hawatufai tena tunapaswa kutafuta wachezaji wenye moyo, hamuoni kakataa kuja?
Job na waziri kazaneni kama sio Leo mtaitwa hata pale watakapoona aibu kabisa na kukosa vizingizio ..