Na hizi ndio faida za ndoa

mwamba c

JF-Expert Member
Jan 2, 2017
690
2,362
Do u know that marriage is the cheapest way of having sex? According to me. U pay 2m mahari once off and you stay with the woman for 20 years which is 240 months. Meaning per month its going to be 8300 tshs and per week Tshs 2083 and per day inakuwa Tsha 277.
So why should men buy Prostitutes for Tshs 50,000 or more only for one round? Wakati unaweza piga mzigo kwa Sh 277 per day as many rounds as you want.
This is a big discount. So get married acha uboya!
 
Wenyewe tunakandamizia utawezaje kula sukuma wiki kwa miaka 20. Hata kama zitakaangwa kuchemshwa kukaushwa itafika kipindi utatamani kisamvu
 
Wenyewe tunakandamizia utawezaje kula sukuma wiki kwa miaka 20. Hata kama zitakaangwa kuchemshwa kukaushwa itafika kipindi utatamani kisamvu
Mkuu katika hii dunia hatuwez kupata kila kitu tunachohitaji..Kuna vitu vya muhimu na vinahitajka kila wakati (chakula,malazi,mavazi),pia kuna vitu vya muhim vnavyohtajika kwa wakat maalum(ndoa,elimu,kazi n.k)na kuna vitu visivyo vya muhim na haviitajik(michepuko)...we cannot have everything that we desire to have, that's why it is important to make choices,the choices we make today will impact the future..so it is important to make smart choices so that we can have a bright future
 
Weee! jiongopee tu,kwa hiyo ukioa ni kula mzigo tu. Wenzio hata bure hawataki kuoa wanaona gharama!
Ukiona mtu hataman ndoa ujue yupo kwenye wrong relationship..Ukwel ni kwamba unapooa unaepuka baadhi ya gharama na anasa...hayo yanayofanya watu wasitaman ndoa yapo tu na yanaepukika kama tu mtakua mmeridhiana, mnapendana na kuheshimiana...
 
Hujaongeza ghrama za chakula,matibabu,malazi,mavazi na urembo kwa miaka 20....rahisi gharama ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…