Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,141
- 46,411
Nakumbuka baada tu ya kuapishwa Rais Samia Hassan.
Nilikua najadiliana na rafiki yangu kuhusiana na mwenendo mzima wa Samia.
Tulijadili mambo mengi ikiwemo pia kauli yake ya na hilo mkalitazame.
Kauli hiyo ilimaanisha kuwa aliwapa uhuru wa kufanya kazi ,
Ila alitegemea mrejesho mzuri.
Baadae akaja na kuleni usawa wa kamba zenu.
Wadau wakafurahi kweli kweli.
Ila huyu ndugu yangu huyu. Alikua na mtazamo tofauti.
Akaniambia. Kaka huu ni mtego utaenda na wengi.
Subiri uone,
Ila bado nasubiria nione.