Mzozo mkali wazuka Willy Paul akizuiwa kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,100
2,630
Mzozo mkali ulivyoibuka baada ya wasimamizi wa jukwaa na timu ya ulinzi kumzuia Willy Paul kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City

Inaelezwa pia Diamond Platnumz hakupiga show

Soma, Pia:

+ Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

+ Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya
 
Wakenya wanapenda ligi

Ova
Bora alikataa ku perform hawachelewi kumshambulia. Nasikia walikuwa wameshaanza kumthihaki Diamond mara mke wa Pdidy. Yaani wakenya wako busy kumshambulia Diamond wakati organizer ndio wanapanga ratiba na wao wanaamua nani apande na wakati gani.
 
Mm syo shabiki wa mziki wao
Lkn walichofanya wakenya siyo kabisa ushamba tu

Ova
 
Back
Top Bottom