Mziki wetu wa Bantu unafeli wapi vs Bongo fleva?

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
34,151
41,518
Sikiliza kwa makini wimbo huu, namna maudhui, sauti na mpangilio wa vyombo ulivyofanyika. Je mziki huu wa kibantu unafeli wapi against Bongo fleva?

Yaani mziki wa namna hii kwa nini unashindwa ku break into the music industry !! tatizo?

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom