mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,978
- 35,571
Honeymoon si mnaijua? 😁😁😁
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho, juzi.
Soma Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
Hapo vipi!!??
Kumeanza kuchangamka mapemaaa
Kweli Ng'ombe hazeeki maini✌️