mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,435
- 5,538
Atakunywa hata bapaWaziri mkuu kupiga marufuku viroba kafanya jambo la msingi sana.
Baada ya viroba namuomba mhe. Rais apige marufuku utengenezwaji wa bapaAtakunywa hata bapa
Hapo mambo yatakaa sawa.Baada ya viroba namuomba mhe. Rais apige marufuku utengenezwaji wa bapa
Mlevi huyu Ana hang over ya konyagi...duh! upako uko namna hiyo eee?
K on yagi za asubuhi mbaya sanaJana katika Ibada mchungaji Antoni Lusekelo aka mzee wa upako amedai kuwa mvua Dar haitanyesha hadi ujenzi wa barabara inayojengwa kuelekea kanisani kwake ikamilike
Aliongeza akitamba kwamba yeye ana Mungu japo watu wanamzushia maneno
Nashauri mamlaka ya hali ya hewa imtumie huyu jamaa labda atasaidia kuleta mvua sehemu kame
Kazi kweli kweli hawa wachangiaji wenye a. k. a nimewavulia kofia