Mzee wa miaka 50 akiri kulawiti watoto sita, aachiwa kwa dhamana. Wananchi wenye hasira naye wamshushia kichapo

mwakani naolewa

Senior Member
Jul 25, 2024
148
425
Mzee mwenye umri wa miaka 50 Mkazi wa Olgolai Kata ya Kiutu Arumeru Mzee Peniel maarufu kama (mzee my friend) anatuhumiwa kulawiti watoto 6 na wengine aliokua akiwachezea sehem zao za siri ambapo siku kadhaa zilizopita alitiwa mbaroni na polisi baada ya kukamatwa kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka9 anayedaiwa kua mjukuu wake lakini kupatiwa dhamana na kurejea mtaani alipoonekana na wananchi na kuanza kumshushia kipigo.

Mzee Peniel amekiri kufanya matendo hayo akizungumza na waandishi wa habari na baadae kuwapigia simu Polisi kuja kumchukua na kumrejesha kituoni.

Baadhi ya Wananchi wamesema kua mzee my friend hulala uchi ndani kwake mlango ukiwa wazi na kuita watoto wamchezee.

Soma Pia: Manyara: Mzee wa miaka 58 abaka watoto watatu akiwemo mwanaye wa kumzaa

 
Mzee mwenye umri wa miaka 50 Mkazi wa Olgolai Kata ya Kiutu Arumeru Mzee Peniel maarufu kama (mzee my friend) anatuhumiwa kulawiti watoto 6 na wengine aliokua akiwachezea sehem zao za siri
Huyo ana zaidi ya 50 na akapimwe akili
 
Wananchi msimwache, tafuteni ubao ziwekeni ndurundu zake zote mbili hapo chujueni nyundo zipigeni hadi ziwe unga.

Afu mtafutieni mtoto mdogo mwingine tena muone kama anaweza kufanya ubazazi tena.
 
Back
Top Bottom