Ni kauli ipi imetoka ya chama tawala kuhusu mauaji ya Tanga na Mwanza? Nauliza hili swali kwa vile naona Mzee Sendeka kakomaa na swala la majipu kana kwamba yale mauaji ni swala dogo kichama.
Nilitegemea kabla ya kudili na hili la wapinzani, chama kingeiadabisha Serikali kwa kwa kushindwa kutoa taarifa kwa umma namna inavyoshughulikia watu hawa wanaoonekana kujipanga vizuri. Kati ya mauaji ya Tanga na hili la wapinzani analohangaika nalo Sendeka,
Ni lipi limetangulia?